Kikowiai

Kikowiai (pia Kiadi au Kinamatota) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakowiai kwenye visiwa vya Papua, Namatote na Adi na vinginevyo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikowiai imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikowiai iko katika kundi la Kibomberai.


Developed by StudentB